BIKIRA WA CHUO (COLLEGE VIRGIN GIRL)
Ilikuwa ni ngumu sana kwa Juma kuamini kuwa katika chuo cha CBEA mwaka wa tatu wa masomo kuna uwezekano wa kuwepo mwanafunzi bikira .lakini siku moja kitabu kidogo kiitwacho Diary ya mrembo wa chuo joy ilimfanya Juma asitaajabu na kupigwa na butwaa kuu….
Bikira wa chuo
Simulizi la kusisimua la kisa na mikasa inamkuta Joy katika kutunza bikira yake,je kamtuzia nani au ni juma rafiki yake anaependana naye sana?fwatilia simulizi hii ya Kiswahili.karibu.